Kwa siku za karibuni Umekuwa msumbufu sana.
Nakumbuka ni wewe ndio ulianzisha ule uzi kuhusu Noah ya baba yako.
Habari za muda huu wakuu... nakuja kwenye mada moja kwa moja home hapa kuna gari la mshua aina ya Noah nataka nianze kuifanyia kazi lakini sijui pa kuanzia Ni ruti gani kwa hapa DAR ina hela naombeni mwongozo. AHSANTENI NAWAKARIBISHA
Habari za muda huu.., nakuja mojaKwamoja kwenye mada kuna gari ya Home ni ya mshua aina ya noah nataka nianze kupiga ruti za kutafuta hela ila sijui paKuanzia. Nipeni ruti za kupiga hela au kama kuna madereva wenye experience ni ruti zip zina hela. AHSANTENI SANA PIA NAWAKALIBISHA PM.
Baba yako atapata hasara ya hiyo Noah muda si mrefu.