Utalipia sh ngap????Habari wakuu!
Natafuta gari ndogo iwe corolla, starlet, duet au gari ya aina yoyote kwa atakaekua tayari aniuzie nimlipe kidogo kidogo isiwe ya bei kubwa ata ikiwa imechoka lakini inaweza kupiga mishe za mjini itafaa.
Ndo anafikiria ombi lako mkuuUtakubali nikulipe kidogo kidogo?
Nataka cash mkuuUtakubali nikulipe kidogo kidogo?
Njooo Pm.Gari ipo? aina gani na bei gani