Gari ni ulimbo kwa warembo!

Gari ni ulimbo kwa warembo!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi.

2. Utawagonga warembo mpaka uchoke.

3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
 

Attachments

  • flagrafortal_1672573506522137.jpg
    flagrafortal_1672573506522137.jpg
    159.7 KB · Views: 26
  • BB481AFB-D95C-4887-9386-3421B2D278FB.jpeg
    BB481AFB-D95C-4887-9386-3421B2D278FB.jpeg
    129.2 KB · Views: 25
  • umwari_mwiza_1677179547503547.jpg
    umwari_mwiza_1677179547503547.jpg
    110.6 KB · Views: 21
Ni kweli gari ni zana muhimu sana kwenye maisha ya mzinzi. Wale wazinzi wanaojitambua lazima wafanye kila namna waonekane wanaendesha magari. Kundi lingine ambalo wana uswahiba na gari ni matapeli. Hao pia hutumia gari kwenye shughuli zao.

Kwa upande mwingine gari lina umuhimu sana kwenye kujiongezea thamani kwa mfanyabiashara. Kwa mfano supplier ukiwa na gari ni rahisi sana kuaminika na kupewa kazi.
 
kwa kawaida mwanamke huwa anamheshimu zaidi mwanaume mwenye gari kuliko asiye na gari hata kama wote wana pesa.
 
Back
Top Bottom