Car4Sale Gari Nissan Gloria inauzwa

Car4Sale Gari Nissan Gloria inauzwa

southernboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
882
Reaction score
1,075
Hii gari imekuja leo haina changamoto inauzwa bei yake ni 4m maelewano yapo ,haina changamoto wala kipengele chochote namba 0625927098 nikutumie video yake na maelekezo mengine.

Gari ipi Dodoma.

20240521_181718.jpg
 
Hiyo milango yake na bampa la nyuma mbona kama vimepigwa sana puti!??,
 
Hii gari imekuja leo haina changamoto inauzwa bei yake ni 4m maelewano yapo ,haina changamoto wala kipengele chochote namba 0625927098 nikutumie video yake na maelekezo mengine.

Gari ipi Dodoma.

Weka picha zote basi za hiyo gari. Wengine humu hatuna hela, ila tunataka tu kuiona hiyo gari inayoitwa Nissan Gloria.
 
Back
Top Bottom