Haaaahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....fakeni kabisa!Kuna jamaa yangu ana hiyo gari imagine kwa ubahili wake ishu ya wheel alignment & balancing inataka kumgharimu matairi mapya manne. achilia mbali service zingine ambazo ni routine kwenye gari.
Haaaahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....fakeni kabisa!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mbona umecheka?
Kwa namba C HIYO sio bei ya kutupwa mbona ninazo kibao kwa bei hiyoHatimae murano nazo zimeingia sokoni kwa bei ya kutupwa!...this is the first time[emoji15] [emoji15]
Ukitaka mpya nakupa kwa mil 18 TZSHatimae murano nazo zimeingia sokoni kwa bei ya kutupwa!...this is the first time[emoji15] [emoji15]
Hata mi nashangaa mzeeAisee nisssn murano model ya 2004 gharama zote mpk kodi ni mil 18 inakua barabarani,wewe unaweka mil 16 afu no. Yenyewe ni C.