Gari nzuri ni ipi kwa bajeti ya 25M


Cluger ni Chaguo sahii
 
Kwahiyo kitu Touareg ni nzuri kuliko bmw x3?
Kaa kwenye bmw au vw utatulia na utajisikia raha, kwa bajeti hyo uloitaja naungana na wadau hapo x3 itakua poa kwako au ongezea kidogo uje kwenye tourage!
 
Achana na Harrier, achana na gari zote.. Chukua KLUGGER
 
Mkuu jaribu Trekta maana ni mult purpose kwa kuwa unaweza kuitumia shamba kuunga juhudi sera ya viwanda kupitia kilimo, wakati huo huo unaweza kuitumia kwa safari za hapa na pale mjini na vijijini! Asante!
 
Sema mkuu hii mipira ya ulaya inawasha sana taa za check ingine kwa barabara zetu hizi ukiitia BM kwenye dimbwi la maji tu inajamba
Hio ndio tabu ya mipira ya ulaya, ndio maana wahuni wanakomaa na vyuma vya TOYOPET.

For less headache, nashauri ishi kwenye Kluger V, Harrier tako za nyani au Ukishindwa Funga ndoa na X-Trail ama Subaru Forester mpya ile.
 
Chukua chuma hiki for safety and reliability. Chukua cha diesel.
 

Attachments

  • D55B4085-C9EB-44A5-B2F6-F150D60106CE.jpeg
    32 KB · Views: 7
  • E38B9B1E-6734-4D09-A3DE-E31CF1C1A69A.jpeg
    32 KB · Views: 7
Mnyama KLUGER 4 CYLINDER Sokoni
 

Attachments

  • 1620107_FB_IMG_1509437055461.jpg
    39.3 KB · Views: 7
  • 1620106_FB_IMG_1509437057972.jpg
    40.7 KB · Views: 6
  • 1620108_FB_IMG_1509437050841.jpg
    36.7 KB · Views: 6
  • 1620106_FB_IMG_1509437057972.jpg
    40.7 KB · Views: 5
  • 1620107_FB_IMG_1509437055461.jpg
    39.3 KB · Views: 6
20 hadi 19 hizo 26 anapigwa mbwiga akitoka mkoani huko anayesema nna milioni 26 nataka gari wahuni wana mbutua tena wahuni wanakwambia tunakukatia na bima kumbe wanakukatia bima ile ndogo ukahangaike nayo ha ha ha ha
acha kuzarau watu wa mkoani. kwani gari si zinaagizwa kutoka japan? unafikir kila gar lazima ije kuchukuliwa dar?
 
Kluger,Subaru Forester la mwaka 2009 au 2010,Harrier 2008,Vanguard(bei kubwa),Ford Escape mwaka 2009
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…