Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

Ukiona unataka kununua gari na una waza juu ya CC na ulaji wa mafuta au sijui spare tambua bado haujafika level ya kumiliki gari..ukitaka kununua gari unatakiwa ujue unataka nini kwanza 1. Comfortability 2. Style (muonekano mzuri) 3. Fuel Economy 4. Performance (uwezo wa engine huko barabarani na nje ya barabara) hivyo vitu hauwezi kuvipata vyote kwenye gari moja lazima usacrifice kimoja upate vitatu au viwili
 
Nakuelewa sana mkuu apo toa namba 2. Ushauri kwenye hivyo vipengele vilivyobaki
 
Toyota rush nadhani ni the best.... Cc 1500 na ni SUV ipo juu.
 
Mi ningekuwa ww ningenunua kwanza gari ya mil 5 used ili inisaidie kujua gari na vitu vyake, pia inipe experience barabarani baada ya hapo ndo niende for dream car. Inaonekana huna experience ya magari unavyokuja kuomba ushauri humu mwisho wa siku utapotezwa kwa maoni mengi
 
Mkuu mimi kwenye kwenye suala uendeshaji sina shida na naendesha manual hivyo kwa uzoefu wa barabani nipo vizuri

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Volkswagen touran
 
Wewe utakuwa mjinga Sana endapo unanunua gari ya chini 1.5 kwa bajeti hiyo
 
Mkuu chukua chuma aina ya NISSAN DUALIS utafurahia sana maisha ya hapa duniani, tena kama kubebea familia ina adhi kubwa sana, kama ni kubebea watoto wa chuo utawala sana watoto wa chuo mpaka ukimbie wewe mkuu
Mwenyewe ameongela matumizi ya mafuta, kwa nini usimwambie pia nissan Duals inatembea 11kms kwa lita? Kwa nilivyo muelewa amelenga 14- 18kms kwa lita
 
 
Point. Saloon car kibongo-bongo Ni kununua matatizo. SUV ndo mwake-mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…