Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Happy national sasa hivi anafika musomaPanda happynation mkuu, chuma mpya hiyo View attachment 2595755
Ndio mkuu, amepeleka zile gari mpya namba EHappy national sasa hivi anafika musoma
hii nimeanda wakati narudi musoma nilipandia mwanza ina unafuuNdio mkuu, amepeleka zile gari mpya namba EView attachment 2595767
Hili ni falcon [emoji23][emoji23]Yule mzee mpiga debe mungu amlaani
amenidanganya hiyo ni pamba nyepesi
pamba nyepesi yenyewe View attachment 2595805View attachment 2595806View attachment 2595807
🤣🤣🤣🤣Yule mzee mpiga debe mungu amlaani
amenidanganya hiyo ni pamba nyepesi
pamba nyepesi yenyewe View attachment 2595805View attachment 2595806View attachment 2595807
wana gari yenye huduma ya choo?Panda happy nation
Unasafiri kwa ajili ya kujisaidia??wana gari yenye huduma ya choo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda kwa ajili ya kujisaidia??
Hawa jamaa Wana management mbovu sana. Niliibiwa na Hawakua na msaada wowotePanda happynation mkuu, chuma mpya hiyo View attachment 2595755
🤣🤣🤣🤣Unaenda kwa ajili ya kujisaidia??
abiria chunga mzigo wakoHawa jamaa Wana management mbovu sana. Niliibiwa na Hawakua na msaada wowote
Kumbe ni kawaida yao?Hawa jamaa Wana management mbovu sana. Niliibiwa na Hawakua na msaada wowote