Gari Toyota Chaser Inauzwa Bei ya Kutupwa

Erasme

Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
63
Reaction score
21
Gari Toyota Chaser kama inavyoonekana kwenye picha hapo, gari ni nzima kabisa inatembea yaani unaweka mafuta na kuondoka na nyaraka zote zipo njoo na fundi wako unayemwamini ujiridhishe,
Bei ni Million 3 na nusu
Gari ipo Kiwalani kwa Gude
Mawasiliano 0768 28 11 52

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulikuwa unalitumia kama dampo?
 
Uko tayar kwenda TRA na polisi ili nijiridhishe zaidi kama mali n yako au lah??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa,biashara ni matangazo,we unaweka picha kama vile hiyo gari ilikuwa inatumika kama banda la Kuku!hiyo gari uipendi na kama hukuipenda,kuna uwezekano ukuitunza kabisa,imeishakuwa mkweche!
Hapo kama inavyoonekana,picha haina mvuto kabisa
Ukipata millioni Moja,shukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nahitaji ako katv apo .0753041841
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mashine iko vizuri inatembea ndio maana nimekwambia uje na fundi wako ujiridhishe mwenyewe kuliosha sio kazi ishu ni gari inatembea.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…