Mwanza bado wananunua namba C kwa bei kubwaGari ipo kwenye hali nzuri ila kwa bei hiyo hupati mnunuzi au upate msukuma aliyeuza dhahabu
Ntaleta gari yangu niiuzie hukoMwanza bado wananunua namba C kwa bei kubwa
Dear Hornet, mbona waguna?
Dear Hornet, mbona waguna?
Msaidie huyo mwenye Raum Old model, No. C aiuze kwa shilingi za kitanzania 7,000,000/= (pasi kupungua hata shilingi 1)
Tena wewe ni mzoefu ktk mambo hayo ya kuuza magari, utamsaidia kutangaza zaidi kwenye mitandao mbalimbali na kupata wataja
Nimekupata vzr mkuu, hapo ni kuendelea tu kuitumia mwenyewe.Inawezekana hujui magari au ndio unajifunza udalali.
Mwisho lakini sio kwa umuhimu
- kwanza kabisa hiyo ni Raum Old Model, nakuhakikishia hakuna wa kununua Raum old model sasa hivi, labda bei iwe ndogo sana na bado unaweza kupata shida kuiuza
- Pili, haiwezekani na haitawezekana ukauza Raum Old Model kwa mil 7. Narudia tena HAIWEZEKANI
- ukitaka kuuza Raum Old model, bei iwe ndogo kuliko kawaida, hapo hamnahamna unaweza ukauza kwa mil 3 au 2.5
Labda awauzie walichimba madiniNamba C, aafu 7 million.....Nooo Way
hapana huu ni mtihani mzitoDear Hornet, mbona waguna?
Msaidie huyo mwenye Raum Old model, No. C aiuze kwa shilingi za kitanzania 7,000,000/= (pasi kupungua hata shilingi 1)
Tena wewe ni mzoefu ktk mambo hayo ya kuuza magari, utamsaidia kutangaza zaidi kwenye mitandao mbalimbali na kupata wataja
Labda Mwz ya kisarawe.Mwanza bado wananunua namba C kwa bei kubwa