Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

1 series 15 M? Mwaka gani??
 
Dah watu wa humu wanajua kukatisha tamaa sana mmh! Kuna gari zinakuwa zimetunzwa vizuri na bado imara kuliko hizo namba D. Mimi mwenyewe nauza spacio yangu namba C na bado iko imara zaidi. Ila sitafuata hizo bei za kukatisha tamaa.
Ingekuwa hivyo basi barabarani tusingekuwa tunaona hata namba A, B, C. Kuna gari nyingine zina namba za zamani ila bado ziko vizuri kabisa. Ebu tuache kukatishana tamaa. Unapoongea maneno ya kuvunja moyo, wewe binafsi unafaidika na nini zaidi ya kumuharibia mwenzako bahati yake? Grow up
 
hajakatishwa tamaa kaambiwa ukweli

ni ngumu kuuza old model namba c
kwa bei ya new model namba D.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…