Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

Hiyo gari wasikufiche ikizidi sana mtu asiejua magari anaweza kukupa 2m ila ukipeleka pale mtawala watalipima kilo waweza pata laki 9 au milioni kama chuma chakavu. Hilo ni scraper sio gari tena.
Acha ujinga
 
Ahsanteni kwa mashirikiano hatimaye ndinga imeuzika tena kwa pesa nzuri,wakatishaji tamaa walikuwa wengi kuliko watia moyo.
 
Ahsanteni kwa mashirikiano hatimaye ndinga imeuzika tena kwa pesa nzuri,wakatishaji tamaa walikuwa wengi kuliko watia moyo.
Hongera sana Comrade. Naamini dalali umemtoa asilimia za kutosha tu kutokana na kazi yake nzuri aliyo ifanya.
 
'Mamake, kwisha habari yake....gari imeoza hivi inauzwa shillingi ngapi?
 
Gari liko katika hali nzuri na linatembea sema lina changamoto ya cylinder head
 
Huu uzi ungefungwa sasa. Maana gari tayari limeshauzwa. Sioni kama kuna sababu ya kuendeleza malumbano.

Na ikiwezekana mnunuzi apewe pongezi zake kwa kununua hii ndinga ambayo baadhi yetu tuliitilia mashaka makubwa, kutokana tu na mwonekano wake na ndani na nje.
 
Gar Tamu sas unaweza leta nilipo? Mimi nigharamie mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…