Gari ufunguo alam mbwembwe tuu

Gari ufunguo alam mbwembwe tuu

Mama Big

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
488
Reaction score
7
Eti ni kweli kuwa gari ni ufunguo alam mbwembwe tu:

1. ukitafuta mpenzi uangalie mambo ya msingi ikiwemo upendo wa kweli?
2. Mwanamke tabia sio sura
3. Mwanaume pesa si suruali
 
kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya
 
Sijambo wewe je.....asante
 
gari hata kama halina ufunguo linahitaji kuwa na simu tu, yenye ule mtandao wetu uleeee.....ufunguo wowote unaingia...usipoingia unabeep tu, kitu hichooo.
 
sijaelewa wadada zangu nifumbulieni hili fumbo
 
Lakini ufungio ndio huohuo ufungio...
 
Eti ni kweli kuwa gari ni ufunguo alam mbwembwe tu:

1. ukitafuta mpenzi uangalie mambo ya msingi ikiwemo upendo wa kweli?
2. Mwanamke tabia sio sura
3. Mwanaume pesa si suruali

Sisi wengine tunaangalia Engine hatuangalii Body.
 
Alamu nayo muhimu ili kudhibiti mpango wa kando/wezi/eti kidumu plus raha ya alamu yenyewe
 
kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya

Mko dunia ya ngapi siku hizi gari zinakuja bila funguo ni za kubofya tu inaitika.
 
Alarm muhimu, kuogopesha baadhi ya wezi maana haitaweza kuzuia wote,kunawengine wanaziwezea sana alarm!
 
kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya
Mhnnnn!!Nayale yakusukuma je???
 
Jamani mie mwalimu wangu wa lugha alisafiri
Hapa naona mafumbo tu
 
Back
Top Bottom