Eti ni kweli kuwa gari ni ufunguo alam mbwembwe tu:
1. ukitafuta mpenzi uangalie mambo ya msingi ikiwemo upendo wa kweli?
2. Mwanamke tabia sio sura
3. Mwanaume pesa si suruali
kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya

1.mwanamke sura
2.mwanaume shughuli..............kwa bed.
kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya
Mhnnnn!!Nayale yakusukuma je???kweli kabisa gari bila ufunguo haliwaki.....japo mengine yanawashwa kwa remote lakini lenye ufunguo wake original ndio tamu kuliendesha.....hujambo lakini....karibu mwaya