Car4Sale Gari ya biashara inauzwa, bei sawa na bure

Car4Sale Gari ya biashara inauzwa, bei sawa na bure

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
60
Dala dala ipo vizuri, namba D.

Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti.

Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia.

Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.

IMG-20220912-WA0011.jpg
IMG-20220912-WA0015.jpg
IMG-20220912-WA0016.jpg
IMG-20220912-WA0009.jpg
IMG-20220912-WA0007.jpg
IMG-20220912-WA0009.jpg
IMG-20220912-WA0004.jpg
IMG-20220912-WA0006.jpg
 
Mkuu toa kwa mkataba tunaweza nyumba nicheki 0753266424

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Siyo kwa mtu aliyevurugwa na dereva kichaa! Tajiri akishafikia hatua ya kuuza gari yake ya biashara kutokana na usimamizi mbovu, huwa habadilishi maamuzi yake kirahisi hata atokee dereva mzuri kiasi gani.
 
Abiria walikuwa wanapiga konyagi hatari...nimeona glas hapo ya konyagi
 
Dala dala ipo vizuri, namba D.

Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti.

Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia.

Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.

View attachment 2400891View attachment 2400892View attachment 2400893View attachment 2400894View attachment 2400895View attachment 2400896View attachment 2400897View attachment 2400900
Hii kwenye njia ya vumbi itaweza?
 
Hivi huwa mnauza namba au gari? Kuniambia namba D inasaidia nini?
 
Madereva ni changamoto kubwa mno, I have experience hata jinsi ya kumnyanganya gari inataka akili, yaani msitishe bila dereva kupata fununu yoyote, ukikosea tu, wengi wanalipiga jini, ndio basi tena.
 
Back
Top Bottom