Siyo kwa mtu aliyevurugwa na dereva kichaa! Tajiri akishafikia hatua ya kuuza gari yake ya biashara kutokana na usimamizi mbovu, huwa habadilishi maamuzi yake kirahisi hata atokee dereva mzuri kiasi gani.Mkuu toa kwa mkataba tunaweza nyumba nicheki 0753266424
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hii kwenye njia ya vumbi itaweza?Dala dala ipo vizuri, namba D.
Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti.
Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia.
Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.
View attachment 2400891View attachment 2400892View attachment 2400893View attachment 2400894View attachment 2400895View attachment 2400896View attachment 2400897View attachment 2400900
Hivi huwa mnauza namba au gari? Kuniambia namba D inasaidia nini?Dala dala ipo vizuri, namba D.
Muuzaji aliagiza mwenyewe, biashara imemshinda, aina MITSUBISH ROSA ndefu, seat cover mpya, floor nzuri, bodi nzuri, rangi nzuri, haijapigwa puti.
Engine 33, nimeipaki nyumbani, bei 14m haipungui hata mia.
Piga 0754279035 kuiona, ipo DSM.
View attachment 2400891View attachment 2400892View attachment 2400893View attachment 2400894View attachment 2400895View attachment 2400896View attachment 2400897View attachment 2400900
To let u know that this is the latest edition...Hivi... Kuniambia namba D inasaidia nini?
Kila bishara ni pasua kichwa, muhimu ni kupambana tu kakaBiashara ya daladala ni pasua kichwa