kwa wenzetu nchi za kiarabu hio sio ajabu magari kama hayo yapo mengi tuajabu ni huku kwetu tu,nahuyo mwizi atakae liiba atalipeleka wapi,huna wakumuuzia na utalipitisha border ipi,wenzetu wana security ya hali ya juu inngekua bongo unaliiba kama vile unaiba embe lakini kwa wenzetu thubutu kuliiba uone utakamatwa baada ya dakika 5 tu.