Gari ya dollar $12,000 kutoka Japan hadi ifike bei gani?

Achana na hiyo Gari....
1kama ipo Netherlands maaana yake ni left hand drive!
2. Kutoka Netherlands Kuja dar Es saam, shipping ni ghali, kumbuka itabidi ipitie Atlantic Ocean, ziunguke hadi Durban then Maputo halafu dar

3.Km 300000 plus kwa Gari ndogo sio kitu Cha kawaida unaweza ukawa unanunua matatizo

Kwa Gari ndogo nunua tu za Japan nadhan hata hizo audi zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna ujanja ujanja wa kupunguza kodi mazeee... Nataka nivute mkoko beforwad ila dah

Alafu wale jamaa wanakuruhusu kuchukua gari bila kulipia T.R.a ukalipak hata kwenu ukipata mkwanja ndio ulipie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…