Lakini unaweza kuona kuna vitu tunadhani tumevigundua sasa kumbe tayari kuna waliotutangulia walishavigundua kitambo sanaHizi gari kwa sasa kupata mtu anaimiliki ni ngumu sana.
Nipe lift broHenry Ford alitengeneza gari kutoka kwenye mchanganyiko wa plastiki na katani ambayo ilitumia mafuta ya katani karibu karne moja iliyopita.
Ford's 1941 bioplastic Model T ilitengenezwa kwa kutumui katani, kitani, ngano, na spruce massa, ambayo ilifanya gari nyepesi kuliko fiberglass lakini imara mara kumi zaidi kuliko chuma,
Makala hii iliandikwa na New York Times mnamo Februari 2, 1941. Gari hilo lilikuwa linatumia mafuta ya ethanol iliyotengenezwa kutoka kwenye mabaki ya katani au taka nyingine za kilimo.
View attachment 3305841
Watawala wetu ndio hao wamawaza kununua v8 na kumiliki michepuko kadhaa dsm na Dodoma and nothing elseLakini unaweza kuona kuna vitu tunadhani tumevigundua sasa kumbe tayari kuna waliotutangulia walishavigundua kitambo sana
Sijui kwanini mpaka leo tunashindwa kuwekeza kwenye mabaki ya katani maana kuna vingi sana
Mafuta ya ethanol
Sukari guru
Pombe Kali
Mbolea
Gesi
Chakula cha mifugo nknk