Gari ya jack wolper yachomwa moto na watu wasiojulikana

Gari ya jack wolper yachomwa moto na watu wasiojulikana

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
HII KAULI ALIYO ITOA MWENYEWE KUTOKANA NA TUKIO HILO
“kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu.

Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu.

Na inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua nyumbani nilikua nimesafiri.

Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani.

Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea."....Wolper

SAM_2023.JPGGARI_YA_WOLPER.jpg
 
jackline-wolper.jpg

Usiku wa kuamkia tarehe 23 mwezi uliopita watu wasiojulikana walilichoma kwa moto gari la Jackline Wolper lililokuwa limepakiwa nyumbani kwake. Hata hivyo gari hili halikuungua lote.
SAM_2017.jpg
Gari la Jackline baada ya kuchomwa

SAM_2030.jpg

SAM_2028.jpg

Kupitia blog yake, Jack ameandika:
Kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu. Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu. Na inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua nyumbani nilikua nimesafiri. Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama.
Pole Jackline.
 
Akawaombe wenzake wachoma Makanisa wamsaidie si kajiunga nao nge...de...re mweusi
 
nikajua ni lile X5! hv ulishafanikiwa kulikomboa majembe?
 
Ustaa wa bongo mgumu. Chuki uchukiwe, hela zenyewe za mawazo.

Pole mwaya.
 
Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure,
Bwana asipoijenga nyumba waijengao wafanya kazi bure,
eventhough pole sana wolper!
 
aiseee babaangu usuper star bongo unakaraa sana bora nibaki na ustar wangu huku huku mkuu rombo
 
Hayo mambo yapo,mwingine anachukua msumari anakuchorea ramani kabisa...Watu ni wengi kwa sasa ila binadamu ni wachache.
 
Celeb niwe mie wangu? Hivi unamjua miss chitchat 2012? Ciello, fanya ziara za mikoani na nje ya nchi utambulike kama jk
King'asti rudisha ile avatar yako yenye binduki. La sivyo na wewe utachomewa nyumba. Si- celeb wewe!
 
Last edited by a moderator:
dAH KUNA WATU WANA ROHO MBAYA!!

ANYWAY LAKINI WATAKUWA WANAJUANA...!!
 
Haya siyo maigizo kweli?
Mbona naona kuna utata mkubwa sana, wataalam wanisaidie kuelewa vizuri.
Kwa mfano;

1/EXAGGERATION
(Picha inaonyesha ni sehemu ndogo sana ya gari ''iliyochomwa'' lakini habari imekuzwa sana utadhani gari yote imeungua)

2/LACK OF REALISTIC
(Wolper anasema anamchukuru Mungu kwamba siku ya tukio hakuwa ndani ya nyumba kwani huenda angeungua na yeye BUT hatuoni uhusiano wowote kati ya sehemu ndogo ya gari ''iliyochomwa'' na huko kutaka kuungua kwa Wolper ndani ya nyumba)

3/FAKE DAMAGE
(Ukiangalia hizo picha utaona sehemu ya gari ''iliyochomwa'' iko sambamba kabisa na gurudumu la gari lakini cha kushangaza ni kwamba gurudumu ambalo ni rahisi kuungua na kuteketea kwa moto kwa kuwa limetengenezwa kwa mpira halijaungua kabisa!!!)

4/ILLUSION
(Wolper anadai siku ya tukio hakuwepo lakini anasema tukio lilitokea usiku wa manane, wahusika kwa kutumia matambara yenye petrol/mafuta ya taa kurusha kutokea nje ya uzio wa nyumba yake BUT ukiangalia hizo picha haziendani kabisa na maalezo kwani kwa namna gari ilivyokaa, mahali palipochomwa, Car packing roof ilivyokaa na uzio ulipo sioni namna mtu anavyoweza kurusha moto toka nje ya uzio halafu ikaenda kutua na kuunguza sehemu ile. Infact angle of throwing, nature of fire and point of burnt don't collerate with the whole story)
 
Hapana shaka nafanya mazungumzo na lundenga aniongeze mkwanja!na ninavyopenda tour nitainjoijeeee!
Celeb niwe mie wangu? Hivi unamjua miss chitchat 2012? Ciello, fanya ziara za mikoani na nje ya nchi utambulike kama jk
 
Last edited by a moderator:
HII KAULI ALIYO ITOA
MWENYEWE KUTOKANA NA TUKIO HILO
“kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu
yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na
kunichomea gari yangu.

Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa
maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu.

Na inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo
sikua nyumbani nilikua nimesafiri.

Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara
yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba
yangu akiwa anarusha kwa ndani.

Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi
na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea."....Wolper

View attachment 70122View attachment 70121

ni tangazo la biashara au? sawa mama tumeona mikaro lite inavyofanya kazi; tuwekee na picha zako za enzi zileee: vp na gari c ina comprehensive insurance? au ni third party?
 
Back
Top Bottom