The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mbeya tupe kinachijiri is it within CCM au outside CCM?Tutayajua chanzo chake baada ya uchunguzi.
Gari mbona imejaa udongo hadi juu kwenye bodi? Ilikuwa inagaragara? Angalia hito Car Handle ilibanduka kabla ya kuungua?Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.
Mng'ong'o amesema tukio hilo limetokea wiki moja baada ya wizi wa tairi jipya la gari lake, lakini amekanusha kuhusisha matukio hayo na masuala ya kisiasa, akisema hana mgogoro na mtu yeyote.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini wahusika na chanzo cha tukio.
View attachment 3312165
PutiGari mbona imejaa udongo hadi juu kwenye bodi? Ilikuwa inagaragara? Angalia hito Car Handle ilibanduka kabla ya kuungua?
Je, Uko serious kabisa na hii comment yako au unatania?Vurugu za aina hii chanzo chake ni Lissu. Enzi ya Mbowe hapakuwa na ujinga huu
Tulitumia mchanga ili kuuzima moto.Gari mbona imejaa udongo hadi juu kwenye bodi? Ilikuwa inagaragara? Angalia hito Car Handle ilibanduka kabla ya kuungua?
Hahahaha atakua kanunuliwa na mgombea huyoFedha zenyewe za kununulia hilo gari amezipata kwa njia isiyo halali kupitia rasilimali za umma.
Ni Kata gani na Jimbo gani?Tulitumia mchanga ili kuuzima moto.
Kwani shekh.Mwaipopo anasemaje?Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.
Mng'ong'o amesema tukio hilo limetokea wiki moja baada ya wizi wa tairi jipya la gari lake, lakini amekanusha kuhusisha matukio hayo na masuala ya kisiasa, akisema hana mgogoro na mtu yeyote.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini wahusika na chanzo cha tukio.
View attachment 3312165
Hahahaha, hawawezi kuwapata maaana ni mchezo wa Siasa huo, kipindi hiki Cha uchaguzi makatibu wenezi wanapata tabu sana na lawama Kwa watia NIAKama ni CCM watuhumiwa watapatikana mapema na haraka iwezekanavyo,na watuhumiwa watapandishwa kizimbani. ila wapelelezi wa mzee kibao hawajatuletea mrejesho.
Nashangaa kwa hoja hii!Je, Uko serious kabisa na hii comment yako au unatania?
It seems ni mkwecheGari mbona imejaa udongo hadi juu kwenye bodi? Ilikuwa inagaragara? Angalia hito Car Handle ilibanduka kabla ya kuungua?