Car4Sale Gari ya kisasa kwa bei nzuri inauzwa

tropicalda

Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
80
Reaction score
28
OFA
*vehicle details ;*
make : mitsubishi
aina ya gari: pajero gdi
body type : station wagon
number :T369 CSN
color : green
fuel used : petrol
transmission : automatic
engine capacity : 1800cc
kilometer : 85,000km
mwaka:1998
price: 8.5million

engine ni genuine haijawahi kufunguliwa na kupata ajali yoyote gari bado mpya ipo katika hali nzuri kuanzia body hadi engine na vibali vyote safi kabisa kila kitu kimelipwa haidaiwi , ina four wheel drive (4wd) ,full ac , new shocups, uptodate service na ingekuwa vizur ukaja na fundi wako unayemwamini ili ujihajikishe mwenyewe bei ya kuuza ni *8.5million/=* bei sawa na bure
kwa mahitaji tuone 0655522433 [emoji338] nipo dar es salaam
*KARIBU UJIPATIE GARI YA HESHIMA*
 
Nweza kuibadilisha engine na gearbox nikaweka za RAV4?
 

Ikiendelea kuwepo hadi december mwishoni tuonane mkuu!!
 
Nweza kuibadilisha engine na gearbox nikaweka za RAV4?
kaka engine ya 3s rav4 inaingia pale kwenye pajero uwe na fundi mtaalamu ila kwanini wataka kubadilisha wakati engine ya gari yangu ni nzimaaa
 
DUUH SAWA BANAA SI UNAONA UPEPO ULIVYOMGUMU NCHINI TZ KWA SASA. UNGEKUBALI HYO KESHO FASTAAA UNGEKUWA NA SHEMEJI MNAKULA RAHA
 
DUUH SAWA BANAA SI UNAONA UPEPO ULIVYOMGUMU NCHINI TZ KWA SASA. UNGEKUBALI HYO KESHO FASTAAA UNGEKUWA NA SHEMEJI MNAKULA RAHA
sawa boss ila gari kama hio wengine wanauza 10m mm nauza bei ya kutupa 8m ahsante lakini kwa ofa karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…