Edwardo Ommy
Member
- Feb 6, 2020
- 36
- 52
Nina gari SUZUKI CARRY DC51T haina 4Wheel.Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni.
VIGEZO
1. Gari iwe na dereva wake.
2. Dereva atalipwa na mwenye gari.
3. Tani 3.
4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi.
5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na gari.
6. Gari lazima ilale Godown/Ofisini siku za kazi.
7. Mawasiliano zaidi 0714664520
8. Mafuta juu yetu.
9. Vibali vya kuingia mjini/city centre ni juu yetu.
Carry ni 1tonneNina gari SUZUKI CARRY DC51T haina 4Wheel.
NAKODISHA . Hii gari Ina Bomba ambazo unaweza kuzitoa au kuamua kuziacha. NINA DEREVA. Mafuta juu yako na vibali vya kuingia mjini juu yako. Tuwasiliane +255716576827 nipo Dar es salaam
Sawa msemaji mkuu wa Edwardo Ommy.Carry ni 1tonne
Yeye anahitaji 3tonnes