Gari ya kukodi inahitajika

The Tactician

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
18
Reaction score
3
Habari zenu wakuu,

Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na maandikishano.

NV: Gari iwe katika hali nzuri, yaani iwe "Roadworthy".

Karibuni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…