The Tactician
Member
- Oct 31, 2018
- 18
- 3
Dereva nitakuwa mimi chiefTangazo halijakamilika mkuu, ofa yako? Dereva atakuwa mmiliki wa gari au wewe?
Asante chief🙏 Ila naomba nipe links ya kampuni nyinginezo za aina hii
Kitu sikipendi bongo unalipa hela unaambiwa unapewa na dereva yaani kila unachofanya mtu ajue hapana aisee, fungeni GPS tu inatosha sana kufuatlia gari lako ila niache mteja nifurahie