zincobinyo
Member
- Mar 21, 2015
- 23
- 20
Raha ya huku ndio hii kila mtu anajua kuusemea moyo wa mtu au mwenzake.
ukipata mkuu naomba kazi ya kukuendeshaHabari wadau, nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza mkataba. Napatikana dar. Mawasiliano 0683069444.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ni pm namba yakoukipata mkuu naomba kazi ya kukuendesha
Unafanya shughuli gani?Raha ya huku ndio hii kila mtu anajua kuusemea moyo wa mtu au mwenzake.
Nimeshasema sio biashara Na kama gari ikiwa na car track itaonyesha ruti zote, nina kazi zangu binafsi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
uzi umefungea thiredi closidi
uzi umefungea thiredi closidi
Ha ha ha,
Ha ha ha,
Umejua kumuumbua kweli aisee.