Gari ya kwanza Private kusajiliwa Tanzania

KndNo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
627
Reaction score
2,049
Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani..

Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo..
Gear Kirungu..!

Wale wanaosubiri namba E.. Mnaweza kununua hii iconic car kupiga misele wakati mnasubiria E ifike..!
 
Rav4 First Gen na heshima yake...
 
Mkuu legeza bei nilinunue hii itakuja kuingia kwenye rekodi ya makumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…