Gari ya maiti imepata ajari marehem afariki tena

Gari ya maiti imepata ajari marehem afariki tena

hapakazit

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
839
Reaction score
663
Polisi katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh ametoweka baada ya madai kwamba alimbaka msichana wa miaka 13 ambaye alienda polisi kuripoti kwamba alibakwa na genge la vijana.
Kesi ya jinai imesajiliwa dhidi yake na amesimamishwa kazi, afisa mkuu wa polisi alisema.
Katika malalamiko yake kwa polisi, baba yake msichana huyo alidai kuwa wanaume wanne walimpeleka bintiye katika jimbo jirani la Madhya Pradesh ambako walimnyanyasa kingono kwa siku nne. Wanaume hao walimrudisha katika kijiji chake katika wilaya ya Lalitpur ya Uttar Pradesh (UP) kabla ya kukimbia.
Siku iliyofuata, afisa anayesimamia kituo cha polisi cha eneo hilo alimbaka msichana huyo alipoenda katika kituo cha polisi na shangazi yake kuwasilisha malalamishi, kituo cha habari cha NDTV kiliripoti.
Ripoti hiyo imesababisha ghadhabu nchini India huku watu wengi wakionyesha hasira kwenye mitandao ya kijamii.
Mkuu wa polisi wa wilaya ya Lalitpur Nikhil Pathak aliwaambia wanahabari kwamba msichana huyo, ambaye aliletwa ofisini kwake na shirika la kutoa misaada la Childline, alimweleza kilichotokea. “Nilipofahamishwa, nilihakikisha kuwa kuna kesi,” alisema.
Habari za tukio hilo zimesababisha hasira huku watu wengi wakihoji sheria na utulivu katika jimbo hilo lenye watu wengi zaidi nchini India.
Katika ukurasa wake wa Twitter, kiongozi mkuu wa chama cha Congress Priyanka Gandhi Vadra aliuliza "ikiwa vituo vya polisi si salama kwa wanawake, basi wataenda wapi kulalamika"?
#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate
 
Back
Top Bottom