kuwa makini barabarani ukiwa waruwaru hata iwe odometer isome 0 baada ya muda utaishangaa
Wapi nimesema taa nyekundu inawaka? Hujasoma vizuri uzi wangu.Mkuu umenunua gari na pesa zako za mwisho uliokuwa nazo, unatembea na kidumu, taa nyekundu inawaka, nyumbani umeacha unga na sukari robo na unadaiwa na washkaji. Hakuna laana Wala mikosi hapo ni mawenge na mawazo yako. Nakushauri paki gari hadi utakapokuwa sawa.