Car4Sale GARI YA MITSUBISHI PAJERO GDI FOR SALE

Car4Sale GARI YA MITSUBISHI PAJERO GDI FOR SALE

tropicalda

Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
80
Reaction score
28
engine capacity : 1830cc
km : 85000
ina four wheel drive
namba :CSN
fuel used : petrol
transmission : automatic
body type : station wagon
BEI NI MILLIONI SABA NA NUSU.

engine ni genuine haijawahi kufunguliwa na kupata ajali yoyote gari bado mpya ipo katika hali nzuri kuanzia body hadi engine na vibali vyote safi kabisa kila kitu kimelipwa haidaiwi , ina four wheel drive (4wd) ,full ac , new shocups, up to date service na ingekuwa vizur ukaja na fundi wako unayemwamini ili ujihajikishe mwenyewe
bei ya kuuza ni 7.5million/= bei sawa na bure
kwa mahitaji tuone 0655522433 nipo dar es salaam usini pm siingiagi online sana piga moja kwa moja simu kwa maelezo zaidi
3b81d04a29276e7753827ce9f3dd19ce.jpg
940eb2cd1924d1500f7fc8d70be3d104.jpg
1eda74d103bb74d0536798854e3660c0.jpg
6f88c30b31dd0647a2f690a44408f97d.jpg
310b1324f825ee7ca2a14d654eb8dbb5.jpg
 
Mkuu hii gari naikubali sana, sema ndo umesema bei haina discussion ila 6.5 ningekutafuta.
 
kazi ngumu kwa sababu gani mkuu?

Mtaani kuna ile notion kwamba hayo magari yanasumbua, hivyo unakuta watu wanaogopa kuyanunua kutoka kwa watu.

Lakini tatizo kubwa huwa ni matumizi ya mmiliki na mafundi wengi wanakuwa hawajui kudeal na system za hayo magari, ndo sababu utakuta watu wanayaogopa.

Ukiweka sokoni gari hilo na toyota, utaona toyota itauzwa kwa haraka zaidi kuliko hilo gari.

Hizo ni gari nzuri sana kama umewahi kutumia na unajua kulitunza.
 
Hii gari ilipata ajali na kutengezwa tena body (body work)?
 
Back
Top Bottom