tropicalda
Member
- Sep 10, 2015
- 80
- 28
ahsanteiko poa
saba mwisho boss nauza bei ya kulenga ili ww uweze kuiuza baadaeMkuu hii gari naikubali sana, sema ndo umesema bei haina discussion ila 6.5 ningekutafuta.
saba mwisho boss nauza bei ya kulenga ili ww uweze kuiuza baadae
inategemea gari ni utunzajiHizo gari mnunuaji ni lazima awe anaifahamu vizuri, mimi niliwahi kuitumia ndo maana naikubali, ila kuiuza huwa ni kazi ngumu sana.
inategemea gari ni utunzaji
kazi ngumu kwa sababu gani mkuu?Hizo gari mnunuaji ni lazima awe anaifahamu vizuri, mimi niliwahi kuitumia ndo maana naikubali, ila kuiuza huwa ni kazi ngumu sana.
kazi ngumu kwa sababu gani mkuu?
hapana gari haijawahi kupata ajali yoyote na pia engine haijawahi funguliwaHii gari ilipata ajali na kutengezwa tena body (body work)?
tuombane uzimaSure mkuu, kila la kheri.
Ukifika bei tutafutane kama nitakuwa bado sijafanya maamuzi mengine.
karibu jipatie gari la heshimakazi ngumu kwa sababu gani mkuu?