Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jamvi Nitawatakie Heri ya pasaka hapo kesho kwakuw sasa nko mbali na familia nauza hili wazo kesho asubuhi nikiw naend church naweka Hotipoti na kontena kwa Gari ili ikitokea mialiko ya kizembe nirud na ushind
Turud kwenye mada hapa napenda tupeane experience hasa kwa sisi vijana ambao Tumemilka magari before 30 na sasa hatupo zaid ya 30 Tujuzane Gari yako unayomilik imekupa nn zaidi
Kwa upande wangu ni value hasa nikiend kwenye madili nauwezo wakuhtaji malpo makubwa kulko awali..
Kuaminik
Kujulikana zaid (shughuli zangu nafanyia mkoani)
Kupata watoto wazuri
Gari pia imenipa connection na kufany nipate kpato zaid
Nmekuw na matumiz makubwa sometimes
Gari imenifanya kuwa mzembe kiafya...
.........tupean uzoefu zaid tunawez ongezean maarifa
NB:- nyie mnaona tunawalingishia sawa tuu
Hizi ni mada za kina RRONDO na mrangiHabari wana jamvi Nitawatakie Heri ya pasaka hapo kesho kwakuw sasa nko mbali na familia nauza hili wazo kesho asubuhi nikiw naend church naweka Hotipoti na kontena kwa Gari ili ikitokea mialiko ya kizembe nirud na ushind

Gari gani?