Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Haya magari ya siku hizi noma sana.
Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc.
Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis.
Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa kwenye mambo mengine.
Sasa ikitokea hivyo, baadhi ya haya magari ya siku hizi yana monitoring system ambayo itakujulisha kuwa umeanza kuwa distracted.
Baadhi yata flash ki message kuwa attentiveness yako ni ndogo.
Mengine yana PA system itakayokuambia kwamba umeanza kuwa inattentive.
Mimi kwa mara ya kwanza iliponitokea, ilikuwa ni hiyo sauti.
Nilishangaa sana. Gari inajuaje kuwa mimi macho yangu yameacha kuangalia ninakokwenda hadi kuniambia kuwa nipo distracted?
Ni safety feature nzuri. Ila, kwa upande mwingine, hiyo siyo intrusion kweli kwenye faragha zetu?
Yawezekana haya magari ya siku hizi yana vi camera vya kufuatilia nyendo na matendo yetu?