Habari wanajukwaa
Gari yangu aina ya colora G ina tatizo la kujipandisha Silence na kujishusha, nimejaribu kuwapelekea mafundi zaidi ya watatu lakini bado tatizo linajirudia, tumebadilisha plagi lakini tatizo bado ni lilelile mpaka nimekata tamaa.
Kuna wakati inajipandisha sana na kubadilisha mlio na wakati mwingine inakuwa Chini sana kiasi kwamba ukipiga starter gari inazima
Anayelijua tatizo naomba anisaidie kwa maelezo Tafadhali