Gari yangu aina ya ist inazima nikiwa kwenye mwendo mdogo tatizo litakuwa nini wadau?

Ushauri wangu peleka kwa fundi akuchekie...maana tutakupa majibu ambayo si ya kiufundi tukakuharibia...mfano mi ningesema silencer iko chini uipandishe.... Ona sasa majibu ya sisi tusiomafundi
 
Naombeni msaada tafadhali

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nahisi ni fuel pump, pressure ya kupeleka fuel kwenye cylinders inakuwa ndogo sana na gari inajizima inapokwenda taratibu.

Fuel injectors, fuel pumps fundi atazame huko, utatupa mrejesho kama ukipata muafaka.
 
Naomba msaada

Gari yangu aina ya ist inazima nikiwa kwenye mwendo mdogo tatizo litakuwa nini wadau?
Izime hiyo gari kwa muda wa dakika 20 au 30 then washa kamcheki fundi akubadirishie pampu
 
Wakuu naleta mrejesho apa kwa lile tatizo la kuzima kwa IST yangu ikiwa kwenye mwendo mdogo tatizo lilikuwa oil kushuka sana baada ya kufanya service kubadili oil ya injini na gia box na fundi kurekebisha plagi sasa chuma imetulia sana wakuu nawashukuru sana kwa mchango wenu wa mawazo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nilitaka kukuambia rekebisha plugs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…