Gari yangu aina ya Toyota Cami inamis dakika chache baada ya kuwaka

Lelon Mush

Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
64
Reaction score
15
Habari,

Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza kuwa ni nini?

FB_IMG_17026177481065155.jpg
 
Mafuta hayafiki kwenye uchomaji
Cheki pump na mfumo wake wa umeme pamoja injectors au plug zako
 
Habari,

Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza kuwa ni nini?

View attachment 2918607
Plugs, gasket, crank shaft sensor, Ignition coil. Ccheza hapo wala hutokosa tatizo
 
Back
Top Bottom