Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
OkMafuta hayafiki kwenye uchomaji
Cheki pump na mfumo wake wa umeme pamoja injectors au plug zako
Plugs, gasket, crank shaft sensor, Ignition coil. Ccheza hapo wala hutokosa tatizoHabari,
Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza kuwa ni nini?
View attachment 2918607