Gari yangu aina ya Wish taa ya oil inawaka moja kwa moja

Gari yangu aina ya Wish taa ya oil inawaka moja kwa moja

molwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
416
Reaction score
440
Habari za leo wadau!

Naomba msaada , gari yangu aina ya Wish taa ya oil inawaka moja kwa moja. Imeshabadilishwa vitu vingi hadi fundi kanyoosha mikono.

Naomba wajuzi mnisaidie ifanyiwe nini tena?
 
Habari za leo wadau!! Naomba msaada , gari yangu aina ya Wish taa ya oil inawaka moja kwa moja. Imeshabadilishwa vitu vingi hadi fundi kanyoosha mikono. Naomba wajuzi mnisaidie ifanyiwe nini tena?
Mmeshabadili oil pressure switch.

Kama mmebadili na bado tatizo lipo then shida inaweza kuwa wiring yake.

Kama upo Dar nicheck.
 
Back
Top Bottom