Nunua gia box weweHabari wataalamu,
Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini tatizo nalisikia bado, na mounting zilichekiwa ziko vizuri shida ni nini naomba msaada wenu note, nikiwa nimeanza mwendo sisikii chochote natembea vizuri tu
Unamaanisha converter?Kachunguze autocluch
Ni kitu gani huko ya gear ndani ya gear box hupelekea mshituko huu ? Maana nikiwa kwenye mwendo haishituki inachanganya vizuri tu, samahani mimi ni mtu wa ku reason kabla sijachukua maamuzi, kuna fundi aliniambia itakuwa ni diff je anaweza kuwa sahihi?Nunua gia box wewe
Mimi nadhani ni mounting Tu azikague na ukanunue afunge ukiwa unaona! Angalia zilizofungwa zina ubora kiasi ganiNi kitu gani huko ya gear ndani ya gear box hupelekea mshituko huu ? Maana nikiwa kwenye mwendo haishituki inachanganya vizuri tu, samahani mimi ni mtu wa ku reason kabla sijachukua maamuzi, kuna fundi aliniambia itakuwa ni diff je anaweza kuwa sahihi?
Sawa itabidi nifungue za diff na gear boxMimi nadhani ni mounting Tu azikague na ukanunue afunge ukiwa unaona! Angalia zilizofungwa zina ubora kiasi gani
All the best, kuna Jamaa aliuza hio gari kwa BEI ndogo Sana kisa tatizo hilo, Jamaa kaichukua kaenda badilisha hizo bushi gari ikatengemeaa. Kama uko Dar jaribu mafundi tofauti, ukikosa naweza kukuunganisha na MTUSawa itabidi nifungue za diff na gear box
Nipo dar, huyo fundi yupo wapi mji huuAll the best, kuna Jamaa aliuza hio gari kwa BEI ndogo Sana kisa tatizo hilo, Jamaa kaichukua kaenda badilisha hizo bushi gari ikatengemeaa. Kama uko Dar jaribu mafundi tofauti, ukikosa naweza kukuunganisha na MTU
Nunua gia box wewe
Gear boxgearbox
Nisaidie mawasiliano yake nikae nayo hapa kabisaAll the best, kuna Jamaa aliuza hio gari kwa BEI ndogo Sana kisa tatizo hilo, Jamaa kaichukua kaenda badilisha hizo bushi gari ikatengemeaa. Kama uko Dar jaribu mafundi tofauti, ukikosa naweza kukuunganisha na MTU
Habari Ndugu,Habari wataalamu,