Gari yangu haipandishi mishale ya kwenye dasboard mpaka nitoe betri na kuweka tena

southernboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
882
Reaction score
1,075
Habari wakuu, nina gari yangu rav 4 ,Kuanzia juzi mishale yote ya kwenye dashboard haifanyi kazi gari nikizima mda mrefu mpaka nitoe betri na kuweka tena, Yaani namaanisha ile mishale ya rpm,speedmita,mafuta na temperature , Shida itakuwa ni nini maana mafundi wao wananizungusha tuu najua kuna wanaojua vizuri
 
Mkuu, Tafuta fundi umeme mzuri apachike mashine. Huenda ni ma fuse yanakata.
 
Habari wakuu, nina gari yangu rav 4 ,Kuanzia juzi mishale yote ya kwenye dashboard haifanyi kazi gari nikizima mda mrefu mpaka nitoe betri na kuweka tena, Yaani namaanisha ile mishale ya rpm,speedmita,mafuta na temperature , Shida itakuwa ni nini maana mafundi wao wananizungusha tuu najua kuna wanaojua vizuri
Hii betri umebadirisha lini mara ya mwisho? Kama ni more that 1.5 to 2 years, replace the battery.
 
Back
Top Bottom