Habari wakuu, nina gari yangu rav 4 ,Kuanzia juzi mishale yote ya kwenye dashboard haifanyi kazi gari nikizima mda mrefu mpaka nitoe betri na kuweka tena, Yaani namaanisha ile mishale ya rpm,speedmita,mafuta na temperature , Shida itakuwa ni nini maana mafundi wao wananizungusha tuu najua kuna wanaojua vizuri