Yako mambo yafuatayo yanaweza kusababisha tatizo hilo .1. Kama plag hazichomi vizuri..2. Kama pump ya mafuta imechoka..3..kama chujio la mafuta limechafuka 4..kama air cleaner imechoka..5..kama breki zimejam..6 kama transmission fluid imepungua sana au imechoka..7 kama vyote nilivyolist apo juu vipo sawa cheki control box ...muhimu zaidi mtafute fundi
inawaka taa ya check engine kwenye dashbord? Na umecheki air cleaner,mfumo wa mafuta uko sahih i mean pump,filter ,nozle na kwenye umeme plugs. Aitoi moshi yani mweupe au mweusi?
Kwa msaada wa ufundi 0672527017