Gari yangu imerusha Mileages automatic bila kuguswa; tatizo ni nini?

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
Ndugu wanajamii, habari zenu!

Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.

Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.

8e3290060f52838ceda02f77f221cec3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu peleka gari petrol station kwanza unaiibia serikali. [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wanajamii, habari zenu!

Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.

Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.

8e3290060f52838ceda02f77f221cec3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu hapo bila kupepesa macho kutokana na ufundi wangu nishakutana sana na hayo matatizo sababu inayosababisha tatizo hilo ni moja tuu gari yako ishawahi kushushwa kilomiter,millage.

Na aliyeifanya kazi hiyo hakuwa makini au aliifanya manually ndio huleta shida hizoo.

Kama huamini fuatilia kwa makini kwenye cluster uta kubaliana na mm
 
Ndugu wanajamii, habari zenu!

Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.

Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.

8e3290060f52838ceda02f77f221cec3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kutanana hili tatizo mara moja. Na niliagiza gari Japan, Beforward. It seems na wao wanazichezea mileage. Iliruka kwa 6000km ndani ya wiki, wkt natembea roughly less than 150km kwa wiki.
 
Km zinachezewa sana,nilishawahi kuona gari ina km chache sana kutoka japan ilikuja bongo, nikasearch Google chassis namba nikaiona Tradecarview inauzwa huko ilikuwa na km za ukweli yaani nilichoka gari ilikuja na km 34406 lakini Tradecarview ilikuwa na 134401km yaani waliondoa km laki nzima ila uzuri wa japan gari zao hata zikiwa na km zaidi ya 150k bado ni safi quality nZuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom