Mkuu peleka gari petrol station kwanza unaiibia serikali. [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji13]Ndugu wanajamii, habari zenu!
Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.
Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.
Sent using Jamii Forums mobile app
So ikisha kuwa hivyo ni tatizo la kiufundi lenye kuketa matatizo au ni kawaida niachane naloHzo gari ndo zilivyo nishawahi pata hayo mashtaka toka kwa jamaa yangu mmoja mjeda kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kama huna jibu si upite tu mbona kutafutiana sababu tu ishie kutukanana ndugu??Mkuu peleka gari petrol station kwanza unaiibia serikali. [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu hapo bila kupepesa macho kutokana na ufundi wangu nishakutana sana na hayo matatizo sababu inayosababisha tatizo hilo ni moja tuu gari yako ishawahi kushushwa kilomiter,millage.Ndugu wanajamii, habari zenu!
Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.
Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kutanana hili tatizo mara moja. Na niliagiza gari Japan, Beforward. It seems na wao wanazichezea mileage. Iliruka kwa 6000km ndani ya wiki, wkt natembea roughly less than 150km kwa wiki.Ndugu wanajamii, habari zenu!
Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.
Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi Millage ilikuwa inasoma 93499 ghafla ikaruka badala ya kuingia 93500 ikaenda 94100 nikahisi labda itarudi yenyewe naona haijarudia tena badala yake inaendelea ku count 94101, 94102....3,4,5,6,7, mpaka leo Inaendelea imefika 94227.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina dhuluma na wala sina imani hizo..Punguza dhuluma hizo gari ukiwa mtu wa dhuluma utasumbuka sana bila kufahamu sababu..