Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
3,946
Reaction score
3,689
Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka. Nikilazimisha linaslide tu.

Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa. Mwenye utaalamu naomba anifafanulie kuhusu hilo tatizo.
 
Mafundi na wenye Nagari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu.
Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani.Baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka,tairi LA upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka.Nikilazimisha linaslide tu.
Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa.Mwenye utaalamu naomba anifafanulie kuhusu hilo tatizo.
Hiyo kawaida especially kama ulipita kwenye maji. Chakufanya nenda mbele kidogo itaachia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom