Hiyo kawaida especially kama ulipita kwenye maji. Chakufanya nenda mbele kidogo itaachiaMafundi na wenye Nagari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu.
Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani.Baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka,tairi LA upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka.Nikilazimisha linaslide tu.
Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa.Mwenye utaalamu naomba anifafanulie kuhusu hilo tatizo.
Sawa sana.Hiyo kawaida especially kama ulipita kwenye maji. Chakufanya nenda mbele kidogo itaachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli sina kumbukumbu ya lini nimebadilisha Brake kwa Mara ya Mwisho.Brake zimeisha kabisa hizo, waweza kukuta liner ndio zimenasia ndani! Brake ulibadilisha lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufanye check upKwa kweli sina kumbukumbu ya lini nimebadilisha Brake kwa Mara ya Mwisho.
Ila kwa sasa linatembea vizuri baada ya kuachia.
Nashukuru kwa ushauri.Ufanye check up
Ukatoe sadaka MpwaNashukuru kwa ushauri.
Nitaufanyia kazi.
Sawasawa.Ukatoe sadaka Mpwa
Nenda kwa fundi.Inatabia ya kujirudia rudia na inakera.Ukiwa kwenye lami kuna afadhali kidogo.Mfumo wa break ndiyo usalama wako!Sawasawa.