farujoni
Senior Member
- Dec 19, 2016
- 189
- 246
Za muda huu..
Natumia gari aina ya Vitz old model gari hii ina tabia ya kuwasha taa nyekundu kuashiria kuwa temperature ya gari iko juu pindi jua linapokuwa kali sana na hali hii inapelekea gari kukosa nguvu ama kuzima kabisa.
Ila pindi inapowasha taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha huwa naangalia kama maji kwenye gari yapo na nakuta maji yapo na wala ule mvuke wa kuashiria gari inachemsha huwa haupo.
Na pindi taa ya kuashiria kuwa gari inachemsha ikiwa inawaka nikizima AC baada ya muda gari inatulia naombeni msaada juu ya hili maana nimeshahangaika sana
Sent using Jamii Forums mobile app