Gari yangu inakataa kuwaka msaada please

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Gari ni Toyota passo
betri iko full na dashboard inaonesha kila kitu kiko sawa but nikiwasha haistart kabisa je tatizo linaweza kuwa ni nn msaada please
 
Asubuhi yote hii unataka gari liamke liende wapi??? Hujalipa hata chai...
 
Gari ni Toyota passo
betri iko full na dashboard inaonesha kila kitu kiko sawa but nikiwasha haistart kabisa je tatizo linaweza kuwa ni nn msaada please
Gari kutowaka inatokana na mambo mengi ikiwemo;betri kupoteza moto,gari kutokua na mafuta, terminal za betri kuwa loose,kuwashia gari kwenye namba D n.k,... listen betri inaweza ikawa inaoneka ful lakini isiwashe gari,betri inawasha gari ikiwa na 12v na kuendelea lakini chini ya hapo inakua na moto ila haiwezi ku start,
 
nawezaje kujua kama batri iko 12v?
 
umiza kichwa kidogo basi... anaglia dash board yako kwa makini utajua nin hakipo sawa

Dashboard iko okay kabisa, hakuna Alert Light yoyote
 
Gari ni Toyota passo
betri iko full na dashboard inaonesha kila kitu kiko sawa but nikiwasha haistart kabisa je tatizo linaweza kuwa ni nn msaada please
Mkuu, kwanza naomba nikupongeze kwa kumiliki mkoko in town.
Pili ebu subiri wajuzi wa motokari wakuje....
 
Gari kutowaka inatokana na mambo mengi ikiwemo;betri kupoteza moto,gari kutokua na mafuta, terminal za betri kuwa loose,kuwashia gari kwenye namba D n.k,... listen betri inaweza ikawa inaoneka ful lakini isiwashe gari,betri inawasha gari ikiwa na 12v na kuendelea lakini chini ya hapo inakua na moto ila haiwezi ku start,
hivi hizi gari ndogo huwa haziitaji kuchoma heater kwanza kabla ya kuwasha hasa kipindi cha asubuhi?
 
Back
Top Bottom