Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

sir kamugisha

Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
20
Reaction score
8
Jamani nina gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji, gari ina mafuta na moto unafika kwenye injini, naomba ushauri nini kinaweza kuwa tatizo hapo?
 
Fund alikuja akachek fuel system akaona mafuta yanafika akasema labda itakua ishu ya umeme, hapo ndo nlishindwa kuelewa
 
Hapana aisee bado
Ukizungusha funguo hupati muitikio wowote?.
Unajua distributor ya umeme inapokaa pale mbele?..
Hebu kaifungue angalia kama ina unyevu kifuniko chake, kisafishe mwagia petrol kidogo then kikaushe kabisa funga rudi washa!.
 
Ukiwasha inakua kama inataka kuwaka alafu inaendelea kutoa mlio huo huo, hyo distributor ya umeme ndo ile ya relay and fuse au ni ipi?
 
Back
Top Bottom