Habari wakuu
Nina gari yangu ilipiga mzinga Run Aux ikaharibika rejeta,show airbag na bull joint ya upande was dereva ilikatika..
Sasa mafundi wakatengeneza gari ikakaa sawa gari ikatembea mwezi mmoja
Ikaanza Ku miss inazima fundi akasema ni gear box gear box imebadilishwa ukikanyaga mafuta haiifiki 100 inaishia 80
Mimechoka naombeni mnisaidie
Titizo litakua n nn